Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Juhudi za kuinua elimu kwa mtoto wa kike Uganda

Juhudi za kuinua elimu kwa mtoto wa kike Uganda

Pakua

Lengo namba la nne la maendeleo endelevu SDGs, linaangazia usawa wa kielimu, likipigia fursa kwa makundi yote hususani jinsia. Kwa kuzingatia hilo jumuiya ya kimataifa inawajibika kutekeleza lengo hilo ili kukuza kiwango cha elimu.

Nchini Uganda, dhana ya kumuelimisha mtoto wa kike inashika kasi, kama anavyosimulia John Kibego katika makala ifuatayo.

Photo Credit
Watoto darasani nchini Uganda.(Picha;UNICEF/Video Capture)