Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vikundi vya wapiganaji ni changamoto maziwa makuu-Balozi Muita

Vikundi vya wapiganaji ni changamoto maziwa makuu-Balozi Muita

Pakua

Katibu Mkuu wa Mkutano wa kimataifa kwa ajili ya maziwa makuu Balozi Zachary Muburi-Muita amesema kuna wakimbizi wengi kutoka Sudan Kusini katika ukanda huo pamoja na taarifa za kuwepo kwa vikundi vya kigaidi vinavyonyanyasa raia huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Katika mahojiano maalum na idhaa hii Balozi Muita amesema vikundi hivyo vinatishia usalama.

(Sauti Balozi Muita)

Kadhalika Balozi Muita ametoa wito wa usaidizi katika kutatua mzozo wa ukanda wa maziwa makuu.

( Sauti Balozi Muita)

Photo Credit
UN Photo/Mark Garten)