Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hamasa ya uchangiaji wa damu Uganda inahitajika zaidi.

Hamasa ya uchangiaji wa damu Uganda inahitajika zaidi.

Pakua

Siku ya kimataifa ya kuchangia damu ikiadhimishwa hii leo Juni 14 kwa kauli mbiu changia damu okoa maisha, nchini Uganda akiba na hamasa ya uchangiaji wa damu ni suala linalohitaji hatua ya ziada. Baadhi ya wananchi wanafahamu umuhimu lakini wengine bado ni tatizo. Je nini kinafanyika? Ungana na John Kibego kwenye makala kutoka nchini humo itakayokupa kwa undani zaidi wa tukio hili

Photo Credit
Mtaalamu wa maabara akichunguza damu. (Picha:Unifeed/Videocapture)