Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkakati maalum wa kujenga vyoo waandaliwa India

Mkakati maalum wa kujenga vyoo waandaliwa India

Pakua

Usafi wa vyoo nchini India bado ni changamoto kubwa. Takwimu zinaonyesha kuwa nchi hiyo ni miongoni mwa zile zinazoongoza kwa upungufu wa vyoo, lakini sasa kuna habari njema kwani mradi maalum umeandaliwa ukiwa na lengo la ujenzi wa vyoo utakaoleta nuru kwa wakazi wa India .

Basi ungana na Joseph Msami katika makala inayoangazia uhaba wa vyoo na mikakati ya ujenzi wake nchini India.

Photo Credit
Ujenzi wa vyoo nchini India.(Picha ya UM/UNifeed/video capture)