Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mtandao wa wanahabari watoto Tanzania wasaidia watoto kuwa na mtazamo huru

Mtandao wa wanahabari watoto Tanzania wasaidia watoto kuwa na mtazamo huru

Pakua

Shirika la watoto duniani, UNICEF, nchini Tanzania, linaendesha mradi maalum unaolenga kufundisha watoto teknolojia mbali mbali za utangazaji wa redio, mafunzi hayo yakiwawezesha watoto kuwa na mtazamo huru ambao utawasaidia katika maisha yao. Ungana nami basi Priscilla Lecomte katika makala hii.