14 FEBRUARI 2024
Hii leo jaridani tunaangazia hali ya kibinadamu katika ukanda wa Gaza, na jinsi amabvyo watu kote ulimwenguni wanavyokabiliwa na njaa kali inayochochewa na migogoro ya silaha. Makala tuansalia na mada ya mwaka huu wa siku ya redio na mashinani tunakupeleka nchini Chad, kulikoni?