Somalia: Bilan yadhihirisha kuwa wanawake wanahabari wanaweza kufanya kazi pamoja na kwa uthabiti
Leo ni siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani mwaka huu ikibeba maudhui “Vyombo vya Habari kwa ajili ya Sayari: Uandishi wa habari katika kukabiliana na mgogoro wa mabadiliko ya tabianchi” kwani Umoja wa Mataifa unasema mchango wa wanahabari na vyombo vya