Wafahamu maana ya neno Mlaso? Ungana na Onni Sigalla
Wiki hii tunaangazia neno “Mlaso” na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania.
Wiki hii tunaangazia neno “Mlaso” na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania.
Nchini Brazil wakimbizi kutoka maeneo 10 tofauti duniani kuanzia Afrika hadi Asia na Mashariki ya Kati wameungana ili kutumia lugha moja inayofahamika zaidi duniani kusuuza siyo tu roho zao bali jamii inayowazunguza.
Wiki hii katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani limefanyika kongamano la kimataifa la vijana la mwaka 2018, lenye lengo la kuwajumuisha vijana katika malengo ya maendeleo endelevu au SDGs.
Vijana wana mchango mkubwa katika kusongesha ajenda ya mwaka 2030 ya maendeleo endelevu au SDGs . Hayo yamesisitizwa katika jukwaa la vijana la Umoja wa Mataifa 2018 lililokunja jamvi hii leo kwenye makao makuu ya Umoja huo New York Marekani.