Dunia ni lazima ishikamane na kuwa na ujasiri 2018:Guterres
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ameyataka mataifa duniani kuwa na kile alichoita umoja na ujasiri katika vita vya dhidi ya mgogoro unaondelea pamoja alichokiita hatari mpya.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ameyataka mataifa duniani kuwa na kile alichoita umoja na ujasiri katika vita vya dhidi ya mgogoro unaondelea pamoja alichokiita hatari mpya.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani vikali mashambulizi mawili ya kigaidi yaliyoptokea leo mjini Baghdad nchini Iraq.
Ajenda ya maendeleo endelevu ya mwaka 2030 ya Umoja wa Mataifa inahimiza nchi zote wanachama kuwekeza katika kilimo cha kisasa ili kukabiliana na changamoto za mbadiliko ya tabia nchi na pia uhabibifu wa mazingira.
Idadi ya watalii wa kimataifa, wanaowasili katika nchi nyingine, na watu wanaoingia nchi moja kwa siku kwa njia halali iliongezeka mwaka wa 2017 kwa kiwango cha asili mia 7 na na hivyo kufikia watalii Zaidi ya millioni elfu moja na mia tatu.
Meli iliobeba winchi nne zilizonunuliwa na shirika la mpango wa chakula duniani-WFP imetia nanga katika bandari ya Hodeidah nchini Yemen.
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, ametembelea iliyokuwa ngome ya waasi wa FARC huko mji wa Mesetas, Meta colombia na kujionea mchakato wa maendeleo ya waliokuwa wana mgambo wa kundi hilo.
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres yupo ziarani nchi Colombia, Amerika kusini katika jitihada za kuendeleza mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Colombia na makundi ya waasi nchini humo.
Wiki hii tunaangazia maneneno "Supu” na “Mwengo" na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania.
Heshima pamoja na haki vya wahamiaji na wakimbizi , kwa mujibu wa msemaji wa Umoja wa Mataifa, ni sharti viheshimiwe popote pale.