MINUSCA yatoa wito wa utulivu baada ya ajali iliyomuua mwanafunzi Bangui
Mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati MINUSCA umekaribbisha taarifa ya serikali ya CAR baada ya tukio la ajali ya bahati mbaya leo asubuhi iliyokatili maisha ya kijana mwanafunzi mjini Bangui.