Wagombea watatu wa Ukurugenzi Mkuu wa WHO wanadi sera
Shirika la afya ulimwenguni WHO, limesema idadi ya waliosalia kwenye kinyang’anyiro cha Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo sasa imefikia watatu baada ya mchujo kutoka wagombea watano.
Shirika la afya ulimwenguni WHO, limesema idadi ya waliosalia kwenye kinyang’anyiro cha Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo sasa imefikia watatu baada ya mchujo kutoka wagombea watano.
Ushirikishwaji wa wanawake katika kufanya maamuzi ya kijamii umewezesha maendeleo na utekelezaji wa miradi ya miundombinu mikubwa, kama vile ghati mpya na barabara ya lami katika eneo la Hunga nchi Tonga bahari ya pasifiki, vitu ambavyo kwa miaka mingi hawakuwanavyo.
Nchi zisiogope kuimarisha haki za watu wa asili kama zilivyoainishwa na azimio la Umoja wa Mataifa lililopitishwa muongo mmoja uliopita a. Wito huo umetolewa na mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za watu wa asili.
Dunia inahitaji kuchukua hatua haraka ili kukusanya takribani dola bilioni 265 kwa mwaka zinazohitajika kufikia malengo mawili ya maendeleo endelevu , la kutokomeza umasikini na njaa ifikapo 2030.
Shirika la chakula na kilimo FAO linataka kusaidia nchi katika uzalishaji wa chakula na zaidi kwenye nchi zilizo na uhaba wa maji.
Shirika la Umoja wa Mataifa la maendeleo ya viwanda UNIDO, shirika la Marekani la maendeleo ya mkimataifa (USAID), Ushirikiano wa maendeleo wa Italia na mfuko wa HP Jumatano wamezindua awamu ya pili ya mradi wa UNIDO wa ajira kwa vijana ujulikanao kama “My project 3) ukiwa na lengo la kuzalisha n
Wakati hofu ya mivutano ikitanda katika miji ya Ouaka na Bambari, nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR, afisa wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya kibinadamu nchini humo, ametoa wito wa utulivu na kujizuia na vitendo vyovyote vitakavyoongeza hali ya ghasia kwa raia ambao tayari wako katika tafrani.
Wataalam wawili wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa leo wametoa wito kwa serikali ya Kifalme ya Cambodia kuwaachilia haraka watetezi watano wa haki za binadamu ambao wamekuwa kizuizini tangu Mei mwaka jana kwa tuhuma zinazohusiana na msaada waliompatia mwanamke mmoja anayedaiwa kuwa alishinik
Ofisi ya pamoja ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC imesema mwaka 2016 ilipata visa 5,190 vya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini humo.
Baraza la Usalama limeelaani vikali shambulio la kigaidi dhidi ya kambi ya Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Mali, MINUSMA, lililotokea kaskazini mwa Mali tarehe 23 mwezi huu na kukatili maisha ya mlinda amani mmoja kutoka Chad na kujeruhi wengine wengi.