Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

02 AGOSTI 2024

02 AGOSTI 2024

Pakua

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii  leo Leah Mushi anakuletea 

-Joto laua watu 175,000 barani Ulaya kila mwaka, na idadi yaweza kuongezeka  limesema leo shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO

-Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, watoto milioni 3.6 wanakabiliwa na utapiamlo mkali nchini Sudan

-Katika makala Afrika ina asilimia 28 ya watoto wenye utipwatipwa duniani walio na umri wa chini ya miaka 5. Sasa mashirika ya Umoja  wa Mataifa ya WHO, UNICEF, na Muungano wa Afrika wanapambana na tatizo hilo la kimataifa

-Na katika mashinani shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP limesema limeongeza hatua za dharura za kusaidia wananchi waliokumbwa na baa la njaa Darfur Sudan

Audio Duration
9'58"