Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Madawa ya kulevya yaliharibu sana maisha yangu – Ray C

Mtumiaji wa mihadarati akitumia dawa  mbadala kwa ajili ya kuondowa hamu ya mihadarati
Picha/IRIN/Sean Kimmons
Mtumiaji wa mihadarati akitumia dawa mbadala kwa ajili ya kuondowa hamu ya mihadarati

Madawa ya kulevya yaliharibu sana maisha yangu – Ray C

Afya

Matumizi ya madawa ya kulevya yaliniathiri kimwili, kiakili, kiroho na kikazi. Hiyo ni kauli ya mwanamuziki mashuhuri Afrika Mashariki   Rehema Chalamila almaarufu kama Ray C ambaye anatoka Tanzania.

Akihojiwa na Idhaa ya Umoja wa Mataifa kwa njia ya simu, katika siku hii ambayo ripoti mpya ya kimataifa kuhusu mihadarati inatolewa hii leo, Ray C ambaye kwa sasa yupo kikazi  huko Nairobi nchini kenya amesema matumizi ya madawa ya kulevya yalisababisha apoteze mwelekeo wa maisha na kurudi sana nyuma kimaendeleo .

Sauti ya Ray C

 Ray C akazungumzia kilichomchochea kutumia madawa hayo.

Sauti ya Ray C

 Na sasa ana wito gani kwa vijana?

 Sauti ya Ray C