Skip to main content

Utokomezaji FGM Tanzania sasa watia moyo

Maandamano dhidi ya ukeketaji Tanzania. Picha: UNFPA / Mandela Gregoire

Utokomezaji FGM Tanzania sasa watia moyo

Haki za binadamu

Kuelekea siku ya kutokomeza ukeketaji wa wanawake na watoto wa Kike duniani, FGM hapo kesho, nchini Tanzania imeelezwa kuwa kitendo hicho haramu kimepungua na hivyo kutia matumaini. Assumpta Massoi ana taarifa zaidi.

Ulimwenguni kote yakadiriwa kuwa wanawake na wasichana milioni 200 wamekumbwa na ukeketaji na hivyo kuwaachia madhara ya kisaikolojia, kiafya na kijamii.

Tanzania ni mojawapo ya nchi ambamo kitendo hicho kinafanyika, nimezunguza na Ali Haji Hamad, afisa wa programu za jinsia katika shrika la Idadi ya watu la Umoja wa Mataifa UNFPA nchini humo kufahamu hali ikoje hivi sasa..

(Sauti Ali Haji Hamad)

Na je nini kichocheo cha mafanikio hayo?

(Sauti Ali Haji Hamad)