Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IOM Yamaliza Mradi wa dola milioni 1.1 wa Kuwafidia Waathiriwa wa Mafuriko Pakistan

IOM Yamaliza Mradi wa dola milioni 1.1 wa Kuwafidia Waathiriwa wa Mafuriko Pakistan

Mradi wa kibinadamu wa shirika la kimataifa la uhamiaji IOM wenye lengo la kuunga mkono mpango wa kuwafidia walioathiriwa na mafuriko nchini Pakistan mwaka 2010 kwa gharama ya dola milioni 1.1 unaelekea kumalizika. Mpango huo unaoongozwa na serikali unaojulikana kama Watam Card ulizinduliwa mwezi Machi mwaka 2010 na ndio mkubwa zadi kuwai kutekelezwa nchini Pakistan.

Mradi huo uliungwa mkono na idara ya maendeleo ya kimataifa nchini Uingereza na Benki ya Dunia na ulitoa dola 422 kwa kila nyumba. Jumbe Omari Jumbe ni msemaji wa IOM.

(SAUTI YA JUMBE OMAR JUMBE)