Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Sera zinazopiga marufuku viwango vya juu vya mafuta kwenye vyakula kupunguza magonjwa wa mishipa

Sera zinazopiga marufuku viwango vya juu vya mafuta kwenye vyakula kupunguza magonjwa wa mishipa

Sera zinazopiga marufuku viwango vya juu vya mafuta kwenye vyakula kupunguza magonjwa wa mishipa

Sera za serikali zinazopiga marufu mafuta kwenye vyakula pamoja na chumvi na kushauri kuwepo matumizi ya vyakula vya mboga huenda zikachangia kupunguza magonjwa ya mishipa kwa asilimia 20.

Utafiti uliochapishwa kwenye makala ya shirika la afya duniani WHO unaonesha kuwa sera bora za kiafya sawia na zinazotumiwa kwenye mataifa mengine huenda zinaokoa maisha 30,000 kila mwaka nchini uingereza na Ireland Kaskazini. V

Vifo vinavyotokana na magonjwa ya mishipa huwa ni mara mbili zaidi kwa watu wanaokula vyakula vilivyo na viwango vya juu vya mafuta na vyenye chumvi nyingi hasa vinavyotengezwa viwandani.