Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jeshi La DRC Lavisifu Vikosi vya Kulinda Amani vya Umoja wa Mataifa

Jeshi La DRC Lavisifu Vikosi vya Kulinda Amani vya Umoja wa Mataifa

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, jeshi la taifa ambalo mara kwa mara linasaidiwa na vikosi vya Umoja wa Mataifa katika operesheni zao mbalimbali za kuyasaka makundi tofauti ya waasi, limevipongeza vikosi hivyo vya kulinda amani kwa kuwaunga mkono katika kulinda usalama.

Ujumbe huo umetolewa katika hotuba ya Kamanda wa jeshi la taifa hilo kanali Sikabwe Fall, wakati wa kuadhimisha siku ya Kimataifa ya Walinda Amani katika mji wa Bunia kaskazini-mashariki mwa DRC. Mwandishi habari Mmolewa Mseke Dide ametuma ripoti ifuatayo.

(SAUTI YA MMOLEWA MSEKE DIDE)