Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IPU kutoa msaada wa kuwaelimisha wabunge nchini Myanmar

IPU kutoa msaada wa kuwaelimisha wabunge nchini Myanmar

Wabunge wapya waliochaguliwa nchini Myanamar wanatarajiwa kupokea mafunzo na usaidizi kutoka kwa chama cha kimataifa cha wabunge IPU jinsi ya kuwa na bunge lenye demokrasia. Wabunge wapya wa chama cha National League Demokracy NLD akiwemo Aung San Suu Kyi watahudhuria vikao vya bunge kwa mara ya kwanza jumatano hii.

IPU imetuma kundi la watu wanne kuwasaidia wabunge hao kuelewa jinsi bunge huru linavyofanya kazi. Jemini Pandya ni msemaji wa chama IPU.

(SAUTI YA JEMINI PANDYA)