Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vyama vya kisiasa nchini Iraq vinastahili kushirikiana:Kobler

Vyama vya kisiasa nchini Iraq vinastahili kushirikiana:Kobler

Vyama vya kisiasa nchini Iraq vimetakiwa kushirikiana na kufanya kazi kwa pamoja ili kumaliza tofauti zao. Kuondoka kwa wanajeshi wa mwisho mwezi Disemba kumesababisha kuwepo kwa misukosuko ya kisiasa na mashambulizi kwenye taifa hilo. Alice Kariuki anaripoti.

(SAUTI YA ALICE KARIUKI)