Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

OCHA imelaani kitendo cha kufanya raia ngao dhidi ya mashambulio Sri Lanka

OCHA imelaani kitendo cha kufanya raia ngao dhidi ya mashambulio Sri Lanka

Ofisi ya UM juu ya Misaada ya Dharura (OCHA) imetoa taarifa kali iliolaani idadi kubwa ya mauaji yanayofanyika kwenye mapigano yaliojiri sasa hivi katika Sr Lanka, hali ambayo UM unasema haikubaliki na ni lazima irekibishwe haraka.