Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF inasailia kampeni ya kukomesha mila ya kutahiri watoto wa kike Mauritania

UNICEF inasailia kampeni ya kukomesha mila ya kutahiri watoto wa kike Mauritania

Wiki hii Alpha Diallo wa kutoka Redio ya UM Geneva alifanya mahojiano maalumu na Christian Skoog, Mwakilishi wa Shirika la UM juu ya Mfuko wa Maendeleo kwa Watoto (UNICEF) aliopo Mauritania. Walisailia hali ya watoto nchini humo, kwa ujumla.

Sikiliza mahojiano kamili kwenye idhaa ya matandao.