Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM inaadhimisha ‘Siku ya Chakula Duniani’

UM inaadhimisha ‘Siku ya Chakula Duniani’

Tarehe 16 Oktoba huhishimiwa na kuadhimishwa kila mwaka na UM kuwa ni ‘Siku ya Chakula Duniani’, ni siku ambayo katika 1945 ndipo Shirika la UM juu ya Chakula na Kilimo (FAO) lilipoanzishwa rasmi kwa madhumuni ya kukabiliana na tatizo la njaa ulimwenguni.