Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vikosi vya Chad, vilivyofunzwa na MINURCAT, vyasambazwa mashariki kulinda wahmiaji

Vikosi vya Chad, vilivyofunzwa na MINURCAT, vyasambazwa mashariki kulinda wahmiaji

Kundi la kwanza la vikosi vya wanajeshi 100 wa Chad waliofunzwa na Shirika la UM la Ulinzi wa Amani katika Jamhuri ya Afrika ya Kati na Chad (MINURCAT) linatazamiwa kuenezwa kwenye maeneo ya mashariki ya nchi kulinda kambi za wahamiaji wa ndani na wale wa kutokea mataifa jirani.