Mjadala wa jumla wa Baraza Kuu waendelea Makao Makuu
Baraza Kuu la UM leo linaendelea na mjadala wa wawakilishi wote, kwa siku ya nne mfululizo, ambapo mawaziri wakuu wa Uingereza, Nepal na Eritrea walitarajiwa kuchangisha kauli zao kwenye mahojiano ya jumla.