Skip to main content

WFP inajiandaa kufadhilia $214 milioni kupiga vita njaa

WFP inajiandaa kufadhilia $214 milioni kupiga vita njaa

Shirika la UM juu ya Miradi ya Chakula Duniani (WFP) limetangaza litafadhilia msaada wa dola milioni 214 maeneo 16 katika Afrika, Asia na Karibian kuyawezesha kukabiliana na matatizo yaliochochewa na mifumko ya bei za chakula na mzozo wa kupanda kwa kasi kwa bei za nishati kwenye soko za kimataifa.