Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

BU latathminia hali Usomali, maendeleo Timor-Leste na amani Afrika

BU latathminia hali Usomali, maendeleo Timor-Leste na amani Afrika

Baraza la Usalama limekutana asubuhi ya leo hapa Makao Makuu kwenye kikao cha hadhara kuzingatia ripoti ya KM juu ya hali katika Usomali na pia hali ya utulivu na maendeleo katika Timor-Leste. Kadhalika Baraza lilitarajiwa kusailia mada maalumu inayofungamana na shughuli za usalama na amani kijumla katrika bara la Afrika.~