Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watu bilioni 2 ulimwenguni wanasumbuliwa na maambukizo ya Hepatatis B

Watu bilioni 2 ulimwenguni wanasumbuliwa na maambukizo ya Hepatatis B

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa ripoti mpya leo kuhusu maendeleo kwenye juhudi za kimataifa za kudhibiti homa ya manjano, au kwa lugha ya kisasa, homa ya Hepatatis B.