Skip to main content

KM ayakaribisha mabadilishano ya kiutu kati ya Hizb'Allah na Israel

KM ayakaribisha mabadilishano ya kiutu kati ya Hizb'Allah na Israel

Msemaji wa KM Ijumapili amearifu kwamba Ban Ki-moon amekaribisha, kwa moyo thabiti, uamuzi wa Israel kumwachia na kumrudisha Lebanon mfungwa mateka wakati wa mapigano ya 2006.