Skip to main content

Sauti ziada za wanakijiji Mbola juu ya Maendeleo ya Milenia

Sauti ziada za wanakijiji Mbola juu ya Maendeleo ya Milenia

Wasikilizaji, kwenye makala iliopita, tulizingatia mchango wa wanakijiji wa Mbola katika kuimarisha zaidi Miradi ya Milenia (MDGs) katika eneo lao liliopo Mkoani Tabora, Tanzania.

Makala yetu ya wiki hii imekusanya maoni ziada ya wanakijiji kuhusu nidhamu ambazo wangelipendelea kuona zinazingatiwa na viongozi wanaohusika na Miradi ya Milenia, ili kukamilisha malengo yao kwa wakati.

Sikiliza ripoti kutoka idhaa ya mtandao.