Skip to main content

FAO itaanzisha miradi maalumu ya kuyasaidia mataifa ya Afrika Magharibi kudhibiti bora chakula

FAO itaanzisha miradi maalumu ya kuyasaidia mataifa ya Afrika Magharibi kudhibiti bora chakula

Shirika la UM juu ya Chakula na Kilimo (FAO) limeanzisha miradi maalumu ya kuwasaidia wakulima katika nchi tano za Afrika Magharibi – ikijumuisha Guinea-Bissau, Liberia, Mali, Senegal na Sierra Leone - kujitegemea kiuchumi, kwa kuimarisha ukulima wa kisasa.