Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Raisi wa Baraza Kuu ameridhika na kazi za Kamisheni ya Ujenzi wa Amani

Raisi wa Baraza Kuu ameridhika na kazi za Kamisheni ya Ujenzi wa Amani

Raisi wa Baraza Kuu, Srgjan Kerim alisema katika risala ya ufunguzi wa kikao maalumu cha mapitio juu ya kazi za Kamisheni ya Ujenzi wa Amani kwamba ameridhika na mafanikio yaliopatikana mwaka mmoja baada ya tume hiyo kubuniwa. Lakini pia alionya mafanikio hayo hayamaanishi mchangowa kimataifa usite kuhudhumia kazi zake.