Skip to main content

Wahajiri wa IDPs wakithiri Kivu Kaskazini

Wahajiri wa IDPs wakithiri Kivu Kaskazini

Ofisi ya UM juu ya Misaada ya Dharura (OCHA) imepokea ripoti zenye kuthibitisha kwamba idadi ya wahajiri wa ndani ya nchi (IDPs)inaendelea kuongezeka kwa wingi Kivu Kaskazini, baada ya kufumka kwa mapigano huko katika siku za karibuni.