Skip to main content

Hali mipakani Ethiopia/Eritrea kumtia wasiwasi KM

Hali mipakani Ethiopia/Eritrea kumtia wasiwasi KM

KM wa UM Ban Ki-moon amenakiliwa akisema kuwa anakhofia kuharibika kwa hali ya utulivu kwenye ile sehemu ya mpakanai kati ya Ehtiopia na Eritrea ijulikanayo kama Eneo la Usalama wa Muda (TSZ).