Skip to main content

Taratibu kinga dhidi ya vurugu Afrika kuzingatiwa na Baraza la Usalama

Taratibu kinga dhidi ya vurugu Afrika kuzingatiwa na Baraza la Usalama

Baraza la Usalama limefanyisha mjadala rasmi wa hadhara, kuzingatia taratibu za kuyasaidia mataifa ya Afrika kujikinga na hatari ya kuteleza kwenye hali ya vurugu na migogoro.