17 Juni 2021 17 Juni 2021 Jarida la Habari Pakua Katika Jarida hii leo utasikia kuhusu Ujumbe wa Katibu Mkuu wa UN kuhusu kulinda Mazingira, WHO yaonya ongezeko la wajawazito wanojifungua kwa njia ya Upasuaji, pia UNHCR inaendesha mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia Venezuela Audio Credit Assumpta Massoi Audio Duration 12'45" Antonio Guterrres COVID-19 wajawazito TABIANCHI NA MAZINGIRA Siku za UN