Bw. Jean Rabe asema umasikini ulimfanya kuwinda wanyamapori lakini sasa anawalinda
Pakua
Kutana na Jean Rabe amekuwa muwindani wa asili wa wanyamapori kwa maisha yake yote lakini sasa baada ya kutambua umuhimu wa kulinda bayoanuai na mazingira ameamua kuwa mmoja wa wanamazingira na wahifadhi wa wanyamapori.
Audio Credit
UN News/Brenda Mbaitsa
Sauti
2'34"