UNHCR yaahidi kushugulikia kilio chao Afrika Kusini
Pakua
Akihitimisha ziara yake ya siku mbili nchini Afrika Kusini, Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR Filippo Grandi, ameelezea utayari wa shirika hilo kuendelea kusaidia serikali katika kuhakikisha ulinzi kwa wakimbizi na wasaka hifadhi nchini humo.
Audio Credit
Assumpta Massoi/ Flora Nducha
Audio Duration
2'31"