Filipo Grandi

Nina jukumu la kuiambia serikali kwamba tuko hapa kusaidia kupunguza na kuondoa athari kwa raia wa hali hizi-Filippo Grandi  

Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, Filippo Grandi ametembelea kambi ya wakimbizi ya Mai-Aini katika mkoa wa Tigray nchini Ethiopia, na kujionea hali ilivyo na akaiahidi serikali kusaidia kupunguza madhara ya hali hiyo kwa raia.

Kamishna wa UNHCR atembelea shule inayowapa fursa wakimbizi Sudan Kusini

Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, Filippo Grandi akiwa ziarani barani Afrika, ametembelea wanafunzi katika shule inayofanya vizuri zaidi kimasomo kwa wakimbizi na wenyeji nchini humo na akaongeza wito wa uwekezaji zaidi katika elimu kwa watu waliofurushwa na pia jamii zinazowakaribisha.

UNHCR yaahidi kushugulikia kilio chao Afrika Kusini

Akihitimisha ziara yake ya siku mbili nchini Afrika Kusini, Kamishna Mkuu wa  shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR

Sauti -
2'31"

Elimu kwa watoto wakimbizi bado ni ndoto kwa mujibu wa ripoti ya UNHCR

Zaidi ya nusu ya watoto wakimbizi milioni 7.1 wa umri wa kwenda shule hawaendi shule, ripoti ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -
1'49"

UNHCR yaomba radhi kwa Tanzania kutokana na sakata la nguo za msaada kwa wakimbizi zilizofanana na sare za kijeshi.

Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, Filipo Grandi akiwa ziarani nchini Tanzania  amesema Tanzan

Sauti -
2'17"

UNHCR yaomba radhi kwa Tanzania kutokana na sakata la nguo za msaada kwa wakimbizi zilizofanana na sare za kijeshi.

Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, Filipo Grandi akiwa ziarani nchini Tanzania  amesema Tanzania kwa muda mrefu imekuwa ni karimu hususan kwa wakimbizi ambao wanakimbia machafuko na rais wake John Magufuli amerejelea kuwa ukarimu huo hautafika mwisho.

 

Licha ya mzozo, DRC yakirimu wakimbizi- UNHCR

Umoja wa Mataifa umejionea miradi dhahiri ya kilimo, ufugaji na biashara inayotekelezwa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kwa ajili ya kuwajengea uwezo wakimbizi wanaotoka nchi jirani.

Sauti -
1'17"

Miaka 7 ya vita Syria ni fedheha kwa jamii ya kimataifa: UNHCR

Kumbukumbu ya miaka 7 tangu kuanza kwa vita vya Syria machi mwaka 2011, ni fedhea kubwa kwa jamii ya kimataifa, wanasiasa, serikali ya nchini hiyo na wote ambao wamekaa bila kutafuta muafaka wa kukukomesha janga hilo kubwa la kibinadamu, asema  Filipo Grandi, kamishina mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbi UNHCR.

Wakati ni huu ni kauli mbiu muafaka- Grandi

Kauli mbiu ya wakati ni sasa ambayo inaangaziwa leo siku ya wanawake duniani imekuja wakati muafaka, amesema Kamishna Mkuu wa shirika la wakimbizi duniani UNHCR, Filipo Grandi katika ujumbe wake wa siku hii.

Sauti -
1'10"

Wakati ni huu ni kauli mbiu muafaka- Grandi

Kauli mbiu ya wakati ni sasa ambayo inaangaziwa leo siku ya wanawake duniani imekuja wakati muafaka, amesema Kamishna Mkuu wa shirika la wakimbizi duniani UNHCR, Filipo Grandi katika ujumbe wake wa siku hii.