Kazi ni kazi hakuna ya mwanaume wala mwanamke asema Mwanamke fundi magari Kenya
Pakua
Kwa muda mrefu kuna baadhi ya kazi ambazo kwa kawaida zilizoeleka kuwa ni kazi za jinsia moja na wala sio nyingine lakini Christina Wambulu mwanamke mwenye umri wa miaka 40 kutoka nchini Kenya amekata kauli kwamba kitu muhimu katika utekelezaji wa kazi yoyote ni stadi na maarifa wala sio jinsia.
Audio Credit
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration
2'2"