WFP yasema vita visipokoma Yemen njaa itazidi kuwaangamiza raia
Pakua
Kutokana na kuzorota kwa hali ya kiusalama nchini Yemen, shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP linataka mapigano ya sasa katika mji wa bandari wa Hodeidah yakomeshwe mara moja kwani mbali ya kukatili Maisha ya watu yanayongeza idadi ya waathirika wa njaa linalowapa msaada wa chakula ,iliyopanda kutoka milioni 8 hadi milioni 14.
Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
1'47"