Utoaji haki Uganda usiengue maskini
Pakua
Malengo ya maendeleo endelevu, SDGs yameangazia masuala yote muhimu yanayogusa jamii yetu zama za sasa. Mathalani suala la watu kufurushwa kutoka kwenye nyumba zao au hata kufungwa kinyume cha sheria.
Lengo namba 16 limeangazia masuala ya upatikanaji wa haki kisheria, ujenzi wa amani na uwepo wa jamii jumuishi. Ni kwa mantiki hiyo John Kibego amefuatilia usakaji wa haki nchini Uganda katika masuala ya ardhi akizungumza na baadhi ya watu walionyimwa haki zao. Ungana naye katika makalahii.
Audio Credit
Siraj Kalyango/John Kibego
Audio Duration
3'32"