Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kazi ya Ulinzi wa amani ya UM imefikisha miaka 70.

Luteni Jenerali Leonard Ngondi, Kamanda wa kikosi cha UNAMID, wakati wa mahojiano na UN News Kiswahili.

Usalama katika UM unatendwa na askari pamoja na raia na polisi katika eneo ambalo halina usalama

Picha ya UN News/Patrick Newman
Luteni Jenerali Leonard Ngondi, Kamanda wa kikosi cha UNAMID, wakati wa mahojiano na UN News Kiswahili.

Kazi ya Ulinzi wa amani ya UM imefikisha miaka 70.

Amani na Usalama

Mwaka huu   Umoja wa Mataifa umeadhimisha miaka 70 ya kuanza kazi rasmi hizo ambazo zimewahusisha wanaume na wanawake ambao wanatumwa sehemu mbalimbali na majukumu tofauti. Katika operesheni hizo 57 zimefanyika   tangu mwaka 1988. Pia operesheni nyingi zimetokea barani Afrika.

Walinda amani hao kila mmoja anaiona shughuli hiyo kivyake.Mmoja wa walinda amani wa kikosi hicho anaelezea jinsi kazi ilivyo. Siraj Kalyango  wa Idhaa hii amezungumza  nae na kuanza kujitambulish ni nani na anafanya kazi wapi.