Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

02 JANUARI 2024

02 JANUARI 2024

Pakua

Heir ya mwaka mpya 2024 na leo katika jarida letu la kwanza kabisa kwa mwaka huu tunakuletea Habari kwa Ufupi, Mada kwa Kina ikielelea Tanzania na Mashinani tunajikita Kenya. Mwenyeji wako ni Leah Mushi.

  1. Habari kwa ufupi: Tetemeko la ardhi Japan; Mashambulizi Ukraine; Mwezi wa Januari kuhamasisha kuhusu saratani ya shingo ya kizazi.
  2. Mada Kwa kina: Jinsi gani Umoja wa Mataifa kupitia mfuko wake wa maendeleo ya kilimo, IFAD imesaidia watu wa jamii ya wahadzabe nchini Tanzania kuhimili madhara ya mabadiliko ya tabianchi.
  3. Mashinani: Mratibu wa shirika lisilo la Kiserikali la Center for the Study of Adolescents, linaloendesha programu ya She Leads, lengo lao likiwa ni kuongeza ushawishi endelevu kwa wasichana na wanawake vijana katika kufanya maamuzi na mabadiliko ya kanuni za kijinsia katika kusongesha lengo namba 5 la Umoja wa Mataifa la usawa wa kijinsia.. 
Audio Credit
Leah Mushi
Sauti
9'58"