Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

METHALI: MSASI HAOGOPI MIIBA

METHALI: MSASI HAOGOPI MIIBA

Pakua

Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo mtaalamu wetu Nicholus Makanji, Mhadhiri katika chuo Kikuu cha Zetech Limuru Kenya anatufafanulia maana ya methali MSASI HAOGOPI MIIBA.

Audio Credit
Nicholus Makanji
Audio Duration
53"
Photo Credit
Habari za UN