Methali

Methali-Hakuna mchele ukosao ndume na hakuna masika yasiyo na mbu

Kwenye neno la wiki leo Mwenyekiti wa idara za Kiswahili katika vyuo vikuu Afrika Mashariki Aida Mutenyo  anatufafanulia maanda ya methali"Shukrani sana Aida Mutenyo kwa elimu hiyo.

Sauti -
39"

Adhabu ya kaburi aijuaye Maiti

Leo kwenye neno  la wiki ambapo Mwenyekiti wa idara za Kiswahili katika Vyuo Vikuu Afrika Mashariki Aida Mutenyo  anatufafanulia maana ya methali Adhabu ya kaburi aijuaye Maiti

Sauti -
30"

ENGA KABLA YA KUJENGA

Je, methali isemayo "ENGA KABLA YA KUJENGA" ina maana gani? Mwenyekiti wa idara za Kiswahili katika vyuo vikuu Afrika Mashariki Aida Mutenyo anaeleza.

Sauti -
40"

MZOWEA VYA KUNYONGA VYA KUCHINJA HAVIWEZI

Na  leo kwenye neno la wiki tutajifunza maana ya methali "MZOEA VYA KUNYONGA VYA KUCHINJA HAVIWEZI" na mchambuzi wetu Josephat Gitonga mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi katika kituo cha tafsiri na ukalimani nchini Kenya.

Sauti -
50"

DUNIA MTI MKAVU UKIIELEMEA ITAKUBWAGA

Neno la wiki  leo tunaenda Uganda kwa  Mwenyekiti wa idara za Kiswahili katika vyuo vikuu Afrika Mashariki Aida Mutenyo kufafanua maana ya methali "DUNIA MTI MKAVU UKIIELEMEA ITAKUBWAGA"

Sauti -
43"

Neno la Wiki-Ujana ni moshi

Sasa  ni Neno la wiki ambapo leo tutajifunza maana ya methali "Ujana ni Moshi" na mchambuzi wetu Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi katika kituo cha tafsiri na ukalimani 

Sauti -
57"

Neno la Wiki: Methali- Uji wa moto haupozwi kwa ncha ya ulimi

Katika Neno la Wiki hii leo tunachambua methali isemayo, "uji wa moto  haupozwi kwa ncha ya ulimi." Mchambuzi wetu ni Ken Walibora, mwanariwaya na na mwanachama wa Chama Cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya, CHAKITA. Fuatana naye mlumbi huyu wa lugha ya Kiswahili.

Sauti -
45"

03 - 05 - 2019

Leo ni siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani ambapo maudhui ni “Vyombo vya Habari kwa Demokrasia: Tasnia ya Habari na Uchaguzi katika Nyakati za Upotoshwaji wa Taarifa.” Na katika jarida letu la leo Ijumaa ambalo huwa na mada kwa kina tunamulika Uandishi wa Habari k

Sauti -
9'45"

Neno la Wiki- Kucha Mungu si kilemba cheupe

Katika Neno la wiki la leo  Mchambuzi wetu Ken Walibora, mwanariwaya na mwanachama wa Chama Cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya anafafanua methali isemayo  'Kucha Mungu si kilemba cheupe'

Sauti -
41"

Kutoa ni moyo usambe ni utajiri

Mchambuzi wetu Ken Walibora, mwanariwaya na mwanachama wa Chama Cha Kiswahili cha Kitaifa nchini Kenya anafafanua methali isemayo Kutoa ni moyo usambe ni utajiri.

Sauti -
52"