Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jifunze Kiswahili: Neno "TATABISI"

Jifunze Kiswahili: Neno "TATABISI"

Pakua

Katika kujifunza lugha ya Kiswahili, leo tunafafanuliwa maana ya neno "TATABISI" na mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA.

Audio Credit
Onni Sigalla
Sauti
1'5"
Photo Credit
Habari za UN