Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jifunze Kiswahili: Ufafanuzi wa neno "KONGO"

Jifunze Kiswahili: Ufafanuzi wa neno "KONGO"

Pakua

Katika kujifunza lugha ya Kiswahili, leo tunapata ufafanuzi wa neno "KONGO" kutoka kwa mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA.

Audio Credit
Onni Sigalla
Audio Duration
47"
Photo Credit
Habari za UN