Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jifunze Lugha ya Kiswahili: HAKIBIZA

Jifunze Lugha ya Kiswahili: HAKIBIZA

Pakua

Katika kujifunza lugha ya Kiswahili, leo tunapata ufafanuszi wa neno "HAKIBIZA" kutoka kwa mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania, BAKITA.

Audio Credit
Onni Sigalla
Audio Duration
1'11"
Photo Credit
Habari za UN