Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jifunze Kiswahili - Msemo: "FANYA ILHAM"

Jifunze Kiswahili - Msemo: "FANYA ILHAM"

Pakua

Katika kujifunza Kiswahili mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania , anatufafanulia maana ya msemo "FANYA ILHAM". Karibu! 

Audio Credit
Onni Sigalla
Audio Duration
58"
Photo Credit
UN