Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

15 Desemba 2021

15 Desemba 2021

Pakua

Karibu kusikiliza jarida, tunakuletea mada kwa kina kutoka nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, huko tunaangazia ujio wa kikosi kipya cha ulinzi wa amani kutoka Tanzania ambacho kinachukua nafasi ya kikosi kingine kutoka Tanzania vilevile ambacho kimemaliza muda wake katika shughuli za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa.

Pia utaapata kusikiliza habari kwa ufupi zikiangazia mwenendo wa janga la Corona au coronavirus">COVID-19 na masuala mengine ya Umoja wa Mataifa. 

Audio Credit
Flora Nducha
Sauti
11'8"